WATALII kutoka Ufaransa na maeneo mengine ya Bara la Ulaya wanatarajiwa kumiminika kwa wingi katika Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha baada ya kuzinduliwa kwa safari za ndege za moja kwa moja kutoka jiji ...