Rais Samia pia ni kinara wa Mpango wa Upikaji Safi wa Tanzania, ambao ulijumuisha kuanzishwa kwa Mkakati wa Taifa wa Upikaji Safi,” Naibu Waziri Mkuu, ameongeza kuwa katika jukwaa la kimataifa, Rais ...
Wanafunzi wasomao kozi ya huduma za hoteli katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wanatarajiwa kuanza mafunzo ya ziada ya nguvu ya miezi mitatu kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL). Hatua hiyo ...