MMILIKI wa Kituo cha Cambiasso Sports Academy, Kambi Zuberi Seif na aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultan, wameieleza mahakama kuwa walikiri kujihusisha na biashara ya dawa za ...
Rais mpya wa Georgia Mikheil Kavelashvili, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa nchi za Magharibi, ameapishwa leo licha ya wiki kadhaa za maandamano. https://p.dw.com/p/4oelW ...
Rais mpya wa Msumbiji Daniel Chapo ... Jamhuri ya Afrika ya Kati limepinga kuteuliwa kwa Rigobert Song kama Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya CAR. CAR FA inasema ilishangaa kwamba waziri wa michezo ...
Serikali ya Japani inafanya maandalizi na Marekani, Australia na India ya mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Quad wiki ijayo baada ya uapisho wa utawala mpya wa Donald Trump. Waziri wa Mambo ...
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza msaada zaidi wa kiusalama wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine leo Jumatatu wakati akitumia wiki zake za mwisho ofisini kabla ya rais mteule Donald Trump kuchukua ...