KESI ya mauaji ya kukusudia ya mtoto Greyson Kanyenye (6), aliyekuwa akiishi Ilazo, jijini Dodoma, inayowakabili washtakiwa Kelvin Joshua (27) ambaye ni dereva bodaboda na Tumaini Msangi (28), bondia, ...
Wasira amechaguliwa kuziba nafasi ya Abdulrahman Kinana aliyeachia ngazi Julai, mwaka jana. Kutokana na kuchaguliwa huko, Wasira pamoja na kuwa msaidizi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama, Rais Samia ...