Maelekezo mengine ni kuhamasisha wananchi wajiunge na Bima ya Afya,kutumia vyandarua,na kwamba mwakani 2025 wasimamie zoezi la watoto kwenda shule madarasa ya awali,la kwanza na kidato cha kwanza, ...