Kwa kifupi lengo lake kubwa ni kuhakikisha afya ya uzazi na haki kwa wote. UNFPA inalenga kuwa na dunia ambayo kila ujauzito ni wa kupangwa, kila kujifungua ni salama, na kila kijana anapata fursa ya ...
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kumeshuhudiwa mzozo na ukosefu wa utulivu kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu. Hata hivyo katika muongo mmoja uliopita mapigano makali ...
Kujiondoa kwa Mali, Burkina Faso na Niger ni pigo kubwa kwa Ecowas, ambayo ina umri wa miaka 50 ikichukuliwa kuwa kundi muhimu zaidi la kikanda barani Afrika. Mgawanyiko huo ulizuka baada ya nchi ...