MWENYEKITI wa Mtaa wa Saranga, uliopo Ubungo,Dar es Salaam Leonard Mbangile, amepokelewa kwa kukabidhiwa kero kadhaa zinaowasumbua wakazi wa mtaa huo, ikiwamo ubovu wa barabara, kukosekana kwa maji na ...
PICHA: SHABAN NJIA Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita akishuhuduiwa utiaji Saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji wa ziwa vitoria wa kupeleka maji mtaa wa mtakuja kata ya Nyahanga.
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Baba wa marehemu Jumanne Juma anayeishi mtaa wa Bariadi maarufu Mji wa Zamani ameelezea namna alivypokea taarifa hizo za msiba wa binti yake amesema: “baada ya kusikia taarifa za msiba kidogo ...
"Kutokuwa makini katika utunzaji wa vifaa hivi kutasababisha athari kubwa katika ukamilishaji wa hatua hiyo muhimu," ameelekeza Kailima. Daudi Jumanne mkazi wa mtaa wa Kange jijini Tanga, ameishauri ...