“Tumeingia kila nyumba, Kitongoji chote hiki, tumebaini jumla ya watu 204 wenye dalili za moja kwa moja za matatizo haya. Tukiwauliza, mwingine anasema alikula chapati, mwingine kitumbua, maandazi, ...