Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi wa kesi ya mfanyabiashara Vicent Masawe (36) anayedaiwa kuiba gari lenye thamani ya Sh15 milioni. Masawe aliyekuwa bwana harusi anakabiliwa na mashtaka ...
ZAIDI ya watu 500 wanadai mafao baada ya serikali kufunga maisha ya maua wilayani hapa Mkoa wa Arusha walikokuwa wakifanya kazi miaka michache iliyopita na kupoteza ajira. Hatua hiyo imekuja baada ya ...
Maua ya kwanza ya mcheri yanayochanua mwaka huu nchini Japani yameonekana mkoani Okinawa. Maafisa wa hali ya hewa wanasema wamethibitisha kuwa maua hayo yanachanua kwenye mcheri uliotengwa wa aina ...
BWANA harusi, Vicent Massawe (36) aliyedaiwa kujiteka mwenyewe amepanda kizimbani kwa mara ya pili katika kesi ya wizi wa gari alilopewa kwa ajili ya kutumia kwenye harusi yake na upande wa mashtaka ...
Utafiti wa Wizara ya Mazingira umebaini kwamba idadi ya maua ya kiume ya mwerezi kote nchini Japani, yanayozalisha chavua, imezidi kidogo zaidi ya wastani uliorekodiwa katika kipindi cha miaka 10 ...
Hotuba za rais mteule wa Marekani, zimejaa tamko la kisiasa na mustakabali wa Marekani baada ya kuapishwa kwake. Jumanne, Trump alielezea wazo lake la kubadili jina la Ghuba ya Mexico kuwa Ghuba ...
Daniel Chapo, 47, anakabiliwa na kibarua kikubwa ya kuliunganisha taifa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa ...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...