Maelezo ya picha, Manahodha 19 kati ya 20 wa Ligi kuu England walivaa jezi ya upinde wa mvua inayowakilisha mwishoni mwa wiki 5 Disemba 2024 Uamuzi wa nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy wa kutovaa ...
Operesheni ya utakatishaji fedha ya mabilioni ya dola ambayo ilianzishwa wakati magenge ya Uingereza yalipokuwa yakihangaika kupakua pesa wakati wa amri ya kutotoka nje imefichuliwa na Shirika la ...
Bila mabadiliko makubwa kwa sekta hizi na bila kupunguza athari za hewa ya ukaa, kuna matumaini kidogo ya kulinda sayari dhidi ya athari mbaya za joto ulimwenguni. Upeperushaji huu wa moja kwa moja ...
Alisisitiza haja ya muda zaidi wa kuzungumza. Mwenyekiti alikuwa ametoa rasimu iliyorekebishwa ya mkataba jana Jumapili. Chaguo moja liliegemea mawazo ya Umoja wa Ulaya na pande zingine.
katika mikoa ya kipolisi ya Ilala na Kinondoni jijini Dar es Salaam ndani ya mwaka 2024. Hayo yalibainishwa na makamanda wa polisi wa mikoa hiyo kwa nyakati tofauti wakati wa maadhimisho ya Siku 16 za ...
Inaelezwa kuwa kwa sasa kuna Watanzania wachache wanaohudumu kwenye fani za urubani na uhandisi wa ndege, hali inayotoa mwanya kwa wenye fedha na watu wa mataifa ya nje, kuchangamkia fursa hizo huku ...
Marekani. Kesi iliyokuwa ikimkabili mtoto wa mkali wa Hip-Hop kutoka Marekani Diddy, Christian Combs ya unyanyasaji wa kingono imerudishwa tena mahakamani ambapo mapema wiki hii kijana huyo alipokea ...
kuwa mshauri mwandamizi wa masuala ya Uarabuni na Mashariki ya Kati. Trump ametoa tangazo hilo kwenye mtandao wa kijamii jana Jumapili. Amemwelezea Boulos kama “mwanasheria aliyefanikiwa na ...
ambapo yanakiuka makubaliano ya usitishaji mapigano, waasi wa M23 na jeshi la Kongo wamethibitisha. Kuripotiwa kwa mapigano haya, kunajiri wakati huu nchi ya Angola juma lijalo inatarajiwa ...
Wakati watumiaji wa bia wakianza kufurahia msimu wa sherehe za mwaka huu, wengi wao huenda hawafahamu ya kwamba chapa zao pendwa huenda zisidumu kwenye rafu mbalimbali nchini kwa muda mrefu. Mapema ...
Zaidi ya Wasenegal milioni 7 wameitwa kupiga kura Jumapili hii, Novemba 17, kwa uchaguzi wa mapema wa wabunge baada ya kuvunjwa kwa Bunge la taifa mwezi Septemba na Rais Bassirou Diomaye Faye.