Katika maelezo yake, Jabiri amesema kwa sasa visomo na dua mbalimbali vinaendelea kufanyika nyumbani kwake eneo la Buguruni Mnyamani Dar es Salaam. Mwili wa aliyekuwa Imam wa Msikiti wa Mnyamani na ...
Hadi mauti yanamfika, Sheikh huyu maarufu pia kwa jina la Abu Idd alikuwa mshauri wa Mufti kwenye masuala ya jamii na Imam wa Msikiti wa Mnyamani uliopo Buguruni jijini Dar es Salaam. Aidha, Sheikh ...