wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na wataalamu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Mbeya (Mbeya-Uwsa). Kuzaga amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Movin Joseph (53) mfanyabiashara wa ...
KATIKA kuhakikisha Mbeya Kwanza inafanya vizuri ili kutimiza malengo ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao, kocha wa timu hiyo, Emmanuel Massawe ameweka wazi kuridhishwa na safu yake ya ushambuliaji ...
Naibu Waziri wa Mawasiliano,Teknolojia na Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi akiangalia mifumo ya uendeshaji wa kituo cha mkongo wa Taifa kilichojengwa Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya kitakacho ...