Nyoka hao watano waliokomaa na watoto 97 kwa sasa wamewekwa karantini na wataachiliwa katika mbuga ya wanyama pindi hali ya hewa itakapokuwa nzuri. Bw Kerewaro alisema ilikuwa ni kumbukumbu kubwa ...
na Wail wali ambiwa watafute makazi wakati moto huo unaendelea kuchoma sehemu kubwa ya mbuga ya Little Desert National Park. Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya ...
TIMU ya Soka ya Taifa ya vijana wa umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys), wanakutana na Uganda katika mechi ya fainali ya Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U-17), itakayochezwa leo kwenye ...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza vifurishi vipya vya bima katika makundi mawili ya Serengeti Afya na Ngorongoro Afya, kifurushi cha chini kikiwa ni Sh. 240,000 na cha juu Sh. 6,388,400 ...
Dar es Salaam. Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imemtangaza Jacqueline Woiso kama mjumbe wake wa bodi, kuanzia Januari 10, 2025. Kabla ya kutangazwa kuwa mjumbe wa bodi ya kampuni hiyo ...
Mbuga ya Kitaifa ya Virunga inatumika kama kielelezo cha "ukanda wa kijani wa Kivu-Kinshasa". Hapa, bwawa la Matebe katika eneo la Rutshuru, kaskazini mwa Goma mashariki mwa Jamhuri ya ...
Katika hatua nyingine, Wasira akiwa wilayani Serengeti ameiagiza Wizara ya Mali Asili na Utalii kuangalia njia ya kudumu kutatua mgogoro baina ya wananchi na wanyama waharibifu wa mazao. Amesema kwa ...