ITAKUWA ni patashika nguo kuchanika kwa wenyeji Singida Black Stars FC kuwakaribisha vinara, Simba katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa CCM Liti mkoani, Singida.
2021, Simba iliifunga Al Merrikh ya Sudan mabao 4-1 na kutinga hatua ya robo fainali kwenye mchezo wa maamuzi, iliongoza kundi lililokuwa na Al Ahly ya Misri, Machi 18, 2023, ikaiadhibu Horoya FC ya ...
Dakika 90 za mchezo wa leo dhidi ... Mara pekee ambayo Simba iliwahi kuongoza kundi ni msimu wa 2020/2021 ambapo ilikuwa ya kwanza kwenye kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika ikikusanya pointi 13 na ...
DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ...
SIMBA imetoa darasa tamu kwa watani wao wa jadi, Yanga baada ya jioni ya leo kushinda mabao 2-0 mbele ya CS Constantine ya Algeria, licha ya kucheza bila ya mashabiki kutokana na kutumikia adhabu ...
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kufurahishwa na viwango vya wachezaji wa timu hiyo na kuwamwagia sifa kutokana na kuonyesha ukomavu na kupata matokeo ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya CS ...
NI kweli Simba itashuka uwanjani jioni hii bila mashabiki, lakini mastaa wa timu hiyo wameipiga mkwara CS Constantine ya Algeria leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, haichomoki kwani wanataka kulipa ...
Kentucky, MAREKANI MSANII wa kizazi kipya anayefanya vyema nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi ujio wa albamu yake fupi (EP) aliyoipa jina la I AM ...