ITAKUWA ni patashika nguo kuchanika kwa wenyeji Singida Black Stars FC kuwakaribisha vinara, Simba katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa CCM Liti mkoani, Singida.
Katika mechi hizo nane imevuna jumla ya mabao 17 na kufungwa mawili tu katika pambano lililomalizika kwa Mnyama kutakata kwa ushindi wa mabao 5-2. Hayo ndio mabao pekee ambayo timu hiyo y Simba ...
2021, Simba iliifunga Al Merrikh ya Sudan mabao 4-1 na kutinga hatua ya robo fainali kwenye mchezo wa maamuzi, iliongoza kundi lililokuwa na Al Ahly ya Misri, Machi 18, 2023, ikaiadhibu Horoya FC ya ...
Dakika 90 za mchezo wa leo dhidi ... Mara pekee ambayo Simba iliwahi kuongoza kundi ni msimu wa 2020/2021 ambapo ilikuwa ya kwanza kwenye kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika ikikusanya pointi 13 na ...
DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ...
AS Vita Club ya DR Congo iliburuza mkiani na pointi saba ambapo mechi za ugenini Simba ilichapwa na AS Vita 5-0, Januari 19, 2019, ikachapwa tena 5-0, mbele ya Al Ahly Februari 2, 2019, kisha ...
SIMBA imetoa darasa tamu kwa watani wao wa jadi, Yanga baada ya jioni ya leo kushinda mabao 2-0 mbele ya CS Constantine ya Algeria, licha ya kucheza bila ya mashabiki kutokana na kutumikia adhabu ...
Kama Simba wataibuka na ushindi kwenye mechi ya leo watafikisha pointi 40 na kuwaacha wapinzani wao Yanga wanaoshika nafasi ya pili na ambao kesho wanacheza na Fountain Gate kwa tofauti ya pointi nne ...
Mechi mechi hizo ni dhidi ya Simba na FC Bravos ya Angola katika kombe la shirikisho barani Afrika. Klabu hiyo pia imetozwa faini ya dola 50,000. Adhabu hizo ni kutokana na fujo zilizoshuhudiwa ...
Kentucky, MAREKANI MSANII wa kizazi kipya anayefanya vyema nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi ujio wa albamu yake fupi (EP) aliyoipa jina la I AM ...
Jumla ya vifo 11 vinavyohusiana na moto vimethibitishwa na Mkaguzi wa kitabibu wa Kaunti ya Los Angeles. Lizzy Masinga Chanzo cha picha, Reuters Idadi ya watu waliouawa katika vita vya Gaza ...
Amecheza mechi 12, akifunga bao moja. Kai Havertz ametumika kama mshambuliaji lakini hili si jukumu lake la asili. Amekuwa ni nembo ya makosa ya Arsenal, akikosa nafasi za wazi dhidi ya Newcastle ...