BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho ...
UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi ya kipa wa ...
Simba na Yanga zinaonekana kuwa ndiyo zenye vita ya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo.
Mpango wa awali wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi ni kuanza tena mwezi wa pili," alisema Kasongo. Aliongeza wakati ligi inasimama timu nyingi zilikuwa zimecheza michezo 16 ...
MABINGWA watetezi, Yanga wamekaa kileleni baada ya kuwaangamiza Kagera Sugar mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania ... Hata hivyo, kuendelea kujidai kileleni kwa Yanga kutatokana na matokeo ya ...
Dar es Salaam. Yanga hivi sasa wanatamba baada ya kuishusha Simba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara hali inayoongeza presha ya kubeba ubingwa. Hayo yakijiri, kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids ...
KIUNGO wa Simba, Ladack Chasambi amewaomba radhi viongozi, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kwa kujifunga goli na kusababisha timu kukosa alama tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ...
lenye utajiri wa madini umesababisha mzozo wa kibinadamu na kidiplomasia, ukihusisha mataifa kadhaa jirani. Idadi kubwa ya majeshi ya Kiafrika tayari yamepeleka vikosi vyao kwenye eneo la mapigano ...
uwanja wa pekee wa barafu Afrika Mashariki na kati ni kituo cha mazoezi kwa timu ya taifa ya Kenya mpira wa magongo ya barafu ‘Kenya Ice Lions’ Mchezo huu uliwasili nchini Kenya mwaka wa 2006 ...
"Hali yake inaonekana vibaya sana. Leo ana umri wa miaka 56. Na anaonekana kama ana umri wa miaka 10. Inasikitisha kumuona hivi. Na naweza kusema tu... Ni lazima tuwaachilie wote, hadi mateka wa ...
Rais wa Marekani Donald Trump amechukua hatua ya kwanza katika kile ambacho wengi wanakielezea kama vita vya kibiashara na baadhi ya washirika wakubwa wa kiuchumi nchini humo. Ingawa Rais Trump ...