KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola amesema wataingia kwenye mchezo wa raundi ya tatu, Kombe la FA dhidi ya Kilimanjaro Wonders kucheza kama fainali, kwani hawataki yawatokee kama ilivyokuwa kwa ...
BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho ...
Simba na Yanga zinaonekana kuwa ndiyo zenye vita ya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo.
Dar es Salaam. Clement Mzize ameiongoza Yanga kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya KenGold leo kwenye Uwanja wa KMC ...
yakiungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda, dhidi ya mji wa Goma, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini mashariki mwa DRC, vilabu vitatu vikubwa vya mpira wa miguu barani Ulaya viko machoni mwa viongozi ...
HII wikiendi ya kibabe kwelikweli kuanzia hapa nchini hadi Ulaya kuna mechi zinapigwa leo Jumamosi na kesho Jumapili huku zikiwa na nafasi ya kubadilisha misimamo ya ligi za nchi husika.
Rais Donald Trump kwa mara nyingine alitangaza Marekani kujiondoa kwenye Mkataba wa Paris kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, hatua ambayo imeibua mjadala wa kimataifa. Tangazo hilo lilikuja huku ...
Donald Trump leo Jumatatu anaapishwa kuwa ... ya kula kiapo cha kutumikia muhula wake wa pili. Muhula wake wa kwanza kama rais ulikuwa kati ya 2017 na 2021. Akiwa na umri wa miaka 78 na miezi ...
Rais mteule Donald Trump atarejea tena katika Ikulu ya White House leo Jumatatu Januari 20, 2025, punde tu atakapo apishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa Marekani. Siku ya kuapishwa itajumuisha sherehe ...
DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS ... wakiwa Kibu Dennis na Leonel Ateba na kuibua shangwe kwa mashabiki wa timu hiyo, ambayo ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wameanza kutamba bwana! Leo walijana pale Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam kufuatilia kwenye televisheni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kati ya timu hiyo na CS ...