(Athletics) Vilabu vya ligi ya Saudi Arabia bado vina nia ya kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Vinicius Jr, 24, nchini humo - huku mtendaji mkuu wa ligi hiyo akisema kuhama ni "suala la muda".
Dkt Mustafa Ali Abdulrahman Ibo na wenzake kwa ujasiri walifanya upasuaji huku mashambulizi yakiongezeka katika hospitali ya mwisho iliyobaki huko el-Fasher, mji ambao umekuwa ukizingirwa na ...
DILI la mshambuliaji aliyekuwa Pamba Jiji, George Mpole la kutimikia Singida Black Stars, limefia njiani mara baada ya Kagera Sugar kuizidi kete na kumbeba juu kwa juu mfungaji bora huyo wa Ligi Kuu ...
Bariadi. Wachimbaji wadogo wawili wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Ikinabusu namba 2, Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu, wamefariki dunia baada ya gema kuporomoka na kuwafukia, huku mmoja ...
Droo ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2024, itakayofanyia Agosti mwaka huu, imefanyika juzi huku Tanzania ikiangukia kundi B na timu za Mauritania, Madagascar, Burkina ...
Hadi kumalizika kwa mzunguko kwanza, jumla ya mabao 264 yamefungwa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo imemaliza mzunguko wa kwanza huku baadhi ya timu zikiwa zimeshacheza mechi za kwanza za mzunguko ...