Kutokana na tuhuma hizo, juzi, Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, kupitia Kamanda wake, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Jumanne Muliro, lilitoa taarifa kuwa askari hao wameshakamatwa ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesaini Mkataba wa makubaliano ya Utoaji Huduma za Afya ya Akili na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dodoma ...