Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk anatarajiwa kuchukua urais wa zamu wa Umoja wa Ulaya kutoka kwa Waziri Mkuu Hungary Viktor Orban Januari 1 mwakani, mabadiliko yamekuwa yanasuburiwa kwa hamu na ...
Akifugua mkutano wa chama hicho jana, Mbowe alisema: "Tumeona minyukano kadha wa kadha. Jambo hili si sifa, ni aibu ya chama ambayo hatupaswi kuliendeleza. Yeyote atakayechukua kijiti cha kukiongoza ...
Uhakiki wa wajumbe hao unafanyika ili kupata uhalali wa wapigakura wanaotambulika ndani ya katiba ya chama hicho, ambao wataamua kati ya Freeman Mbowe, Tundu Lissu, na Charles Odero nani apewe kijiti ...
Cleveland aliongoza Marekani kuanzia 1885-1889 na kurejea tena madarakani 1893 hadi 1897. Kwa mujibu wa jarida la Times Magazine. Donald Trump (78), Januari 20, anaapishwa kuwa rais rasmi, akipokea ...
Mbowe atoa maagizo kwa Lissu Mbowe aliyekaa madarakani kwa miaka 21 akichukua kijiti kutoka kwa Bob Makani amesema: “Kama mnaniheshimu kama mtu niliyekifanyia kazi chama hiki, nawaagiza haraka ...
Kwa hesabu zote ni kwamba Yanga ya Gamondi kwa msimu huu katika mechi 16 za mashindano yote, ilivuna jumla ya mabao 36 ya kufunga na kufungwa mabao matano tu kabla ya kijiti kumuachia Ramovic ambaye ...
JIBU: "Mwazoa yule ni baba yetu na mlezi wetu wa mchezo wa ngumi Tanga, ametusogeza na ametutoa mbali sana, kukosa yeye asingekuwepo Yohana Mchanja, Salim Mtango wala Hassan Mwakinyo kwa hiyo ni baba ...