TAMASHA la Sauti za Busara kwa msimu wa 22, limepangwa kufanyika Februari 14 hadi 16 mwaka ... Kwa upande wa mratibu wa tamasha hilo, Journey Ramadhani, amewataja baadhi ya wanamuziki ambao watatoa ...
Umoja wa Mataifa unaeleza kwamba duniani kote kuna vijana bilioni 1.2 wenye umri wa kati ya miaka 15 hadi 24. Idadi hii ni saw ana asilimia 16 ya wakazi wote wa dunia. Kama hiyo haitoshi, idadi hiyo ...
WASANII wa muziki wa Tanzania, Frida Amani na mfalme wa masauti, Christian Bella wanatarajia kupamba tamasha la 'Sauti za Busara 2025' inatarajiwa kuanza Februari 14 hadi 16 mwaka huu, visiwani ...