NEW YORK, MAREKANI: STEPHEN Curry ameonyesha tena umahiri akiandika historia mpya katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA). Katika mechi ambayo Golden State Warriors waliichapa Philadelphia 76ers kwa ...
Dar es Salaam. Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi kuhusu kuwekeza nguvu kwenye muziki wa singeli imewakosha wasanii wa muziki huo huku wakimuomba aanze na ...
DAR ES SALAAM; MAKANISA mbalimbali nchini yameendesha ibada ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2025 huku viongozi wake wakitaka Watanzania kuombea taifa amani, uchaguzi mkuu, kujiimarisha kiimani na kuacha ...
Katika kuadhimisha mwaka mpya, tunapata nafasi ya kutafakari na kufanya mabadiliko chanya katika maisha yetu. Wengi hutumia kipindi hiki kupanga malengo na mikakati mipya na ni muhimu kukumbuka kuwa ...
DAR ES SALAAM; WATOTO 19 wamezaliwa katika hospitali za mkoa za rufaa Dar es Salaam usiku wa kuamkia Mwaka Mpya wa 2025. Maofisa habari wa hospitali hizo walithibitisha hayo jana walipozungumza na ...
JAMANI wasomaji na mashabiki wa safu hii, nakutakieni heri ya mwaka mpya wa 2025. Ilikuwa ni safari ndefu ya milima na mabonde yenye mbu na kila aina ya bughudha za kisiasa, kijamii na kiuchumi.
KAMA wewe ni mpenzi na shabiki wa Simba, basi tegemea kuona maajabu zaidi kutoka kwa kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua hasa kwa mechi za kimataifa, baada ya kocha Fadlu Davids kueleza mipango ya ...
“Tupo timamu kuhakikisha wananchi wanasheherekea sikukuu ya mwaka mpya kwa amani na utulivu na kuimarisha ulinzi katika nyumba za ibada ... sheria za barabarani na kwamba wanavyo vifaa vya kupima ...
Kwa picha: Tazama jinsi ulimwenguni ulivyoukaribisha mwaka mpya wa 2025 Ili kuashiria kuanza kwa mwaka mpya, miji mikuu kote dunia imewaka kwa fataki... Imechapishwa: 01/01/2025 - 05:53 ...
Gabon imeingia rasmi Jamhuri ya Tano tangu leo Alhamisiasubuhi. Nakala ya Katiba mpya, iliyopitishwa na kura ya maoni mnamo mwezi Novemba, imeidhinishwa mnamo Desemba 19, 2024 na rais wa mpito ...
Katika mahojiano yake ya kwanza na BBC tarehe 18 Disemba, kiongozi mpya wa Syria, Ahmed al-Sharaa, alielezea uhusiano na Urusi kama "mkakati." Alisema: "Inafaa kuzingatia kuwa kamanda mkuu wa ...
New Zealand na Australia zilikuwa baadhi ya nchi za kwanza kusherehekea mwaka mpya, zikifuatiwa na nchi nyingine za Asia na Mashariki ya Kati na Afrika. Dunia imesherehekea kuwasili kwa 2025 kwa ...