Kutoweka kwa zaidi ya wakosoaji 80 wa serikali katika kipindi cha miezi sita iliyopita kumesababisha taharuki kubwa ya umma nchini Kenya. Jaji ameonya kuwa atawafunga maafisa wakuu wa usalama kwa ...
Mkutano huo umelenga kuwasaidia wakulima nchini kupata bei nzuri ya mazao hayo kipindi cha msimu wa mavuno. Irene alisema COPRA imejizatiti kuhakikisha biashara ya nafaka na mazao mchanganyiko ...
TikTok imepigwa marufuku Marekani, Januari 19 baada ya mahakama ya juu zaidi nchini humo kupinga ombi lililowasilishwa na mmiliki wa mtandao huo ByteDance, kutaka marufuku hiyo ibatilishwe.
Faida nyingine amezitaja kuwa ni pamoja na kuongeza mwonekano wa jengo, kusaidia kutambulika kwa kitu, na kuleta hali nzuri ya hewa. Kwa upande wake, Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Evaristo Liwa ...
Viongozi wa kimataifa wa masuala ya kisiasa na biashara wanaokutana Davos Uswisi kwa ajili ya jukwaa la kiuchumi duniani WEF, leo wamekabiliwa na ukweli mchungu kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa ...
kwa mujibu wa kocha Enzo Maresca. Sanchez alitokea bila ya umakini mzuri kiasi cha kumpatia Erling Haaland nafasi nzuri ya kuifungia bao la pili Man City katika ushindi wa 3-1, matokeo ambayo ...
Katika kipindi cha mwaka 2024 Sekta ya mawasiliano nchini ilishuhudia ukuaji katika nyanja tofauti, isipokuwa idadi ya miamala ya simu ambayo ni kiashiria cha namna watu walivyotuma na kupokea pesa ...
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imeiagiza Rwanda kufunga shughuli zake zote za kidiplomasia na kibalozi nchini humo ndani ya saa 48. Hatua hiyo ...
Hatua hiyo ya wanajeshi wa DRC kusalimisha silaha kwa walinda amani wa Uruguay imeripotiwa kufanyika siku ya Jumapili ya wiki iliopita kabla ya waasi wa M23 kuingia katika Mji wa Goma. Inatokea ...
Flora Nducha na taarifa zaidi Asante Assumpta Guterres ambaye yuko Lebanon tangu jana kwenye ziara ya mshikamano akizungumza na uongozi wa kikosi hicho cha UNIFIL na wafanyakazi, amewapongeza kwa ...
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda, alisema maadhimisho ya Siku ya Mlipakodi yanalenga kuwatambua na kuwashukuru walipakodi wa sekta mbalimbali kwa mchango wao. Aliainisha vigezo vya ushindi wa tuzo ...
Serikali ya Japani imeamua kutoa msaada wenye thamani ya yeni milioni 310, au karibu dola milioni 2 kwa Marekani, ili kukabiliana na mioto mikubwa inayolikumba eneo la Los Angeles. Serikali hiyo ...