KAMATI ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imebaini kuwapo na uhaba mkubwa wa walimu wa amali wenye sifa na weledi ambapo mahitaji ni walimu 620 huku waliopo ni 62. Kutokana na upungufu huo, Bunge ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama. Na WAF – Malawi Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa leo imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya mateka wa Kiyahudi walioachiliwa na wafungwa wa Kipalestina waliotolewa gerezani kama sehemu ya awamu ya ...
Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na kuzuia waasi hao kuchukua zaidi. Anamshutumu Rais wa Rwanda Paul Kagame ...
Katibu Mkuu amesema AI sasa inaumba upya jinsi watu wanavyoishi, wanavyofanya kazi na wanavyotangamana. “Inachochea mambo makubwa kwenye elimu, sayansi, kilimo… lakini vile vile inaleta mtihani mkubwa ...
Katika moja ya machapisho, aliweka picha yake ya kitambulisho cha Saudi Arabia kabla ya muonekano wake mpya wa kike, na chapisho hilo likapata umaarufu mkubwa. Chanzo cha picha, X Maelezo ya picha ...
Nyota Wydad alivyobeba matumaini Bi Mkubwa Ramadhan Cup. Baada ya kung'ara kimataifa, mshambuliaji nyota wa Tanzania, Selemani Mwalimu (Gomez), anayekipiga katika Klabu ya Wydad Athletic Casablanca ya ...
DAKTARI wa mpira. Ndiyo jina maarufu kwake kutokana na umahiri wake katika kuituliza timu licha ya umri kumtupa mkono. Hata hivyo, nyota huyu wa kimataifa wa Uganda, ufundi bado upo na ubongo wake ...
Lakini licha ya mafanikio yake, maswali yanabaki juu ya hali yake ya kifedha kabla na baada ya kifo chake. Wengi hudhani msanii wa hadhi yake angekuwa tajiri mkubwa na wa ajabu, lakini ukweli ...
Kuna nini cha mno? Inakuwaje kijana wa Kiafrika kufunga ndoa na zee lisiloweza kumzalia au kumzalisha au kumuachia ujane? Je, ni tamaa, ujinga, au umaskini ukiachia mbali kuabudia rangi ambapo mweupe, ...
Akizungumza katika kikao hicho, Waziri wa mawasiliano wa DRC Patrick Muyaya amesema kumekuwepo na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na mashambulio dhidi ya raia wa kawaida. Inatokea sasa hivi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果