Kwa mara ya kwanza, Tanzania inatarajia kuanzisha tuzo za kutambua na kuthamini mchango wa wasanii katika tasnia ya vichekesho (uchekeshaji) chini ya usimamizi wa Baraza ... Gervas Kasiga, alitangaza ...
MADINI muhimu au kitaalamu ‘critical minerals’ ambayo ni pamoja na shaba, lithiamu, nikeli, kobalti na ‘rare earth elements’ ni malighafi inayohitajika mno duniani kwenye teknolojia za kielektroniki ...