Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG) na Vituo vidogo viwili vya ...
Prof. amesema pindi ajali za majini zinapotokea, shughuli za uokoaji zinachelewa kufanyika kwa wakati kwa sababu ya kukosekana vifaa vya kisasa vya uokozi. "Tunahitaji Watanzania katika maeneo ya ...