Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Amina Mohamed ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa mkakati wa kufanya utafiti wa kina wa kijiolojia na ...
Wataalam wa Umoja wa Mataifa wanaasema kuwa jeshi la Rwanda "linaongoza operesheni za M23", wakielezea jinsi makurutu wa M23 wanavyopewa mafunzo chini ya usimamizi wa Rwanda na kupewa silaha za ...