Safari ya mwanamke katika uongozi hapa nchini imekuwa na changamoto kubwa kutokana na mfumo dume kukita mizizi katika jamii ...
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Brac Maendeleo Tanzania (BMT) limetumia Sh. 294,823,389 kuwawezesha wanawake na wasichana barehe kiuchumi wa Mkoa wa Singida kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024. Meneja wa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mwaka huu wa 2025 utakuwa wa mafanikio na matumaini yatakayoamua kesho bora ya nchi kutokana ...
MADEREVA 64 wa mabasi makubwa na madogo yanayotoa huduma za usafirishaji katika mkoa wa Kilimanjaro, wamefutiwa leseni ...
Ripoti iliyochapishwa leo na Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR imeweka wazi kuwa mtindo wa Israel wa ...