Siku kama ya leo, miaka 80 iliyopita, takriban wafungwa 7,000 waliokuwa wameachwa kufa kwa njaa katika kambi za mateso na mauaji za Auschwitz-Birkenau walikombolewa na wanajeshi wa jeshi la muungano.
Kadri dunia inavyosherehekea miaka 80 ya kuachiliwa kwa Auschwitz, msisitizo ni si tu katika kukumbuka wahasiriwa wa Holocaust, bali pia kuhakikisha kwamba masomo ya historia hayawezi kusahaulika.
Jumuiya ya Shia Imami Ismaili nchini Tanzania imezindua Fanoos katika Jamatkhana ya kihistoria ya Upanga, hafla iliyokuwa sehemu ya mpango wa Global Encounters. Fanoos, taa ya mfano inayowakilisha ...
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ya kuboresha masuala ya kodi nchini. Tume hiyo ikiongozwa na Makamu ...
Manusura wa Holocaust na wengineo walikusanyika kusini mwa Poland jana Jumatatu kuadhimisha ukombozi wa Auschwitz miaka 80 iliyopita ... na mkusanyiko wa watu ya Nazi. Manusura, wageni wa heshima ...
Benjamin Netanyahu ametangaza siku ya Jumapili jioni, Januari 26, kwamba mazungumzo na Hamas yamekwama, kuwezesha kuachiliwa kwa mateka watatu siku ya Alhamisi, wengine watatu siku ya Jumamosi ...
UNRWA pia italazimika "kuondoka katika ardhi ya Israeli." Uamuzi unaoungwa mkono na Marekani lakini ambao kwa Umoja wa Mataifa unahatarisha "mustakabali wa Wapalestina". Sheria "kuhusu shughuli za ...
Maeneo hayo ni pamoja na kutengeneza mazingira mazuri ya sera yanayowiana, mifumo, fedha, na taasisi imara. Amesema hayo leo Jumatatu, Januari 27, 2025, wakati akitoa hotuba katika mkutano wa wakuu wa ...
Dar es Salaam. Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki ...
SK2 / S02S 28.01.2025 28 Januari 2025 Wanajeshi wengine wa Afrika Kusini wauawa mashariki Kongo+++Tanzania - Mataifa ya Afrika yanatafuta namna ya kuwaunganisha watu milioni 300 ifikapo 2030 ...
Amakuru yo hirya no hino yibanda cyane cyane ku karere k'ibiyaga bigari muri Afrika, n'amakuru mpuzamakungu. Amakuru yo hirya no hino yibanda cyane cyane ku karere k'ibiyaga bigari muri Afrika, n ...