Tunaamini katika kusaka maendeleo itakuwa si vibaya kwa Yanga kujifunza kwa timu zilizofanikiwa, na kwa hapa nchini katika michuano hiyo hususan hatua muhimu kama hiyo ya maamuzi kwa mechi ya mwisho ...
BAADA ya kuondolewa katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kikosi cha Yanga kimeingia kambini kwa ajili ...