BODI ya Ligi Nchini (TPLB), imesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaanza kwa mechi za 'viporo' za Simba na Yanga, kabla ya ...
Tunaamini katika kusaka maendeleo itakuwa si vibaya kwa Yanga kujifunza kwa timu zilizofanikiwa, na kwa hapa nchini katika michuano hiyo hususan hatua muhimu kama hiyo ya maamuzi kwa mechi ya mwisho ...
Februari tano kutakuwa na mechi mbili pia ambapo Yanga itacheza na Ken Gold, Tabora itavaana na Namungo huku Simba ikirejea uwanjani Februari 6 kuvaana na Fountain Gate, huku Azam ikicheza na KMC.
Kwa mujibu wa Taarifa hiyo ya TFF, winga huyo na beki wa kulia, Israel Mwenda wanatarajiwa kuanza kuitumikia Yanga rasmi katika mechi ya kiporo cha michuano ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa Janauri ...
Yanga pia itaishusha Simba na kusogea hadi nafasi ya sita katika chati ya ubora wa klabu Afrika kwa muda wa miaka mitano ya Caf kwa vile Simba itakuwa na pointi 38. Ikitinga robo fainali, Yanga ...