DAR ES SALAAM imejaa barabara nzuri karibu kila upande pia kuna mtandao mkubwa wa njia za mabasi ya mwendo wa haraka. Hakika inapendeza kutiririka na ‘motokaa’ ndani ya barabara za lami lakini kwenye ...
Ajali hiyo ilihusisha basi dogo la abiria aina ya Toyota Coaster lililogongana ... Hali niliyokuja nayo hapa hospitali haikuwa nzuri, lakini matibabu niliyopata kwa sasa naendelea vizuri," amesema ...
tunafanya kazi na watu ambao wengi wetu wana malengo mazuri ya kuendeleza nchi yetu,” amesema Ametumia fursa hiyo kuwataka wawe na lugha nzuri kwa wanaowakagua, “lugha nzuri ni kitu muhimu sana, ila ...
Kibu ndiye aliyefunga mabao yote mawili dakika ya saba na 90+8 katika ushindi wa 2-1 uliowaweka Simba katika nafasi nzuri ya kuendelea kupambania kutinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya ...
Pia kumbuka kuna mechi nyingine mbili za kibabe za Ligi ya Mabingwa ikiwamo ya Mamelodi Sundowns ya Sauzi na Raja Casablanca ya Morocco. Mechi ya Simba na Sfaxien ni ya aina yake kwani kila moja ...
Zaidi ya watu 100 bado hawajulikani waliko kufuatia mkasa wa maporomoko ya ardhi yaliyotokea mashariki mwa Uganda siku ya jumatano. Hadi sasa idadi za maiti ambazo zimeopolewa kutoka kwenye tope ...
ICC yatangaza uchunguzi mpya dhidi ya madai ya uhalifu Kongo Awali, mahakama ya ICC iliwatia hatiani waasi watatu kwa uhalifu katika mkoa wa Ituri kaskazini mwa Kongo Siasa 15.10.2024 15 Oktoba 2024 ...
Aina mpya ya Covid inasababisha wasiwasi huko Marekani ambapo inaenea haraka. Kesi zingine pia zimerekodiwa nchini Uingereza, kwa hivyo unahitaji kujua nini kuhusu XBB.1.5? Bado ni aina nyingine ...
Magari huwa ya rangi aina nyingi, lakini umewahi kujiuliza ni mambo gani mtu huzingatia kabla ya kununua gari la rangi fulani au akibadilisha rangi ya gari lake? Rangi ya gari huwa inatuma ujumbe ...