JAMHURI ya kidemokrasia ya Congo (DRC), imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, ...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema Siku ya Wanamke Duniani, mkoani humo itafana mwaka huu, ikiwa yenye tija kwa wanawake wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla. Makonda amesema kabla ya kilele ...
Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu Nyerere wakati akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma, TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema hayo, leo Februari 10, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo alieyetaka kujua ni lini ...
BAADA ya kupata pointi nne katika michezo miwili akiwa na TMA FC ya jijini Arusha, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Ismail ...
JKT Tanzania ilikuwa uwanjani jana, Ijumaa, mjini Arusha, lakini katika mchezo huo kulikuwa na ishu kibao, ukiachana na ...
Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kurejea madarakani Januari 20, ametangaza hatua ya serikali yake, kusitisha misaada ...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imesema mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa ukeketaji ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wa chama cha mapinduzi CCM kupeperusha bendera ya chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Tunachambua hatua ...