DAKIKA 90 za Jumamosi ya Januari 18, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger, zimebeba hatma ya Wananchi msimu ...
YANGA ipo Mauritania ambapo kuanzia saa 4:00 usiku leo Jumapili itashuka uwanjani kumalizana na Al Hilal ya Sudan katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini mapema mabosi wa klabu hiyo wameamua ...
KLABU ya Yanga imetangaza kuwa inaelekea kukamilisha usajili mmoja mkubwa ambao inatarajia kuutangaza hivi karibuni na kushtua nchi, huku taarifa zikisema imeingilia kati dili la Simba la kumwania ...
DAR ES SALAAM; YANGA leo watakuwa wanaikaribisha Fountain Gate FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa KMC, Mwenge Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wanakuwa na ari ya kuendeleza ...
Dodoma. Kutokana na baa la njaa katika miaka ya 1974 hadi 1975, Watanzania walilazimika kula ugali uliotokana na mahindi ya njano kutoka Marekani. Ukapewa jina ugali wa yanga. Ugali wa yanga ni moja ...
Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu jijini Tanga, Yanga Omari ‘maarufu rais wa Tanga’ amefariki dunia jana mchana (Desemba 27, 2024) akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ...
Kutokana na matokeo hayo Yanga imefikisha pointi 33 ikiwa nyuma ya Simba inayoongoza ligi ikiwa na pointi 34. Yanga na Azam zote zina pointi 33, isipokuwa Yanga ina uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na ...