MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekitaja Chuo Kikuu Mzumbe (MU) kilichoko mkoani Morogoro kuwa kinara katika ulipaji wa kodi kwa kipindi cha Julai hadi Novemba, 2024. Pongezi hizo zilitolewa juzi na ...
Tanzania imeendelea kung’ara katika nyanja za kimataifa baada ya Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk John Rwegasha kuteuliwa kushika wadhifa wa Mkuu wa Kitengo ...
Akizungumzia kuibuka kwa China kama kinara cha uwekezaji nchini, Profesa wa uchumi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Aurelia Kamuzora anasema kuna faida na hasara zake. “Ukiangalia bidhaa wanazoleta kwetu, ...
Ni ndoto iliozaa matunda kwa pacha walioshikana Maria na Consalata nchini Tanzania baada ya kuanza masomo yao katika chuo kikuu ili kujifunza kuwa walimu. Kulingana na gazeti la The Citizen ...