Kosakosa kwenye lango la Singida ziliendelea dakika 31, Kibu akimuwekea pasi ya kifua Mukwala ambaye aligeuka ghafla na kupiga shuti lililompita kipa Metacha, lakini ukatoka nje sentimeta chache.
Pia Majaliwa ametaja uwepo wa magonjwa mbalimbali ikiwemo magonjwa ya macho, Pumu, mapafu, maumivu ya kifua na magonjwa ya moyo kama miongoni mwa athari zinazowakumba kinamama na wasichana wengi ...
Viwanja vya mpira ambavyo vinatumiwa kwa michezo na burudani sasa vinatajwa kuwa vituo vinavyokutanisha wafanyabiashara na watumiaji wa dawa za kulevya, hali inayotishia usalama wa watoto, vijana, na ...
Hali hiyo ilisababisha mashabiki wa Man United mapema mwezi huu kukusanyika nje ya Old Trafford kupinga ongezeko la bei. Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, bilionea Ratcliffe ameendelea na mpango wa ...
Wizara ya afya imeidhinisha dawa ya kwanza ya matone ya Japani iliyotengenezwa kupunguza kasi ya kutoona mbali. Wizara hiyo jana Ijumaa iliidhinisha uzalishaji na uuzaji wa atropine sulfate hidrati.
Maneno maarufu ni ‘kukata gogo’ kwa haja kubwa huku wanaoenda haja ndogo wakisema ‘wanakwenda kuchimba dawa’. Ofisa Elimu wa Kijiji cha Makumbusho, Wilhelmina Joseph, anasema zamani jamii nyingi za ...
Kwa wagonjwa wa kisukari, kutumia chakula kama dawa ni njia mojawapo ya kudhibiti kisukari na kupunguza madhara ya ugonjwa huu. Mlo sahihi unaoweza kudhibiti viwango vya sukari unaweza kuepusha ...
SERIKALI inakusudia kuwekeza Sh bilioni 3.3 kwa ajili ya utekelezaji ... ya dawa na vitendanishi kwa ajili ya watu wanaoishi na VVU. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amepongeza uwepo wa ...
Wizara ya michezo nchini Kenya imesema "inachukua hatua madhubuti" kuzuia uwezekano wa kupigwa marufuku kwa wanariadha wake kimataifa kufuatia msururu wa visa vya matumizi ya dawa za kutunisha misuli.