KUSHINDA mechi ya ufunguzi wa michuano ya ICC League B dhidi ya Italy na tatu nyingine zinazofuata, ndio azma kuu ya timu ya Tanzania katika ligi hii kimataifa inayoanza kuchezwa rasmi ijumaa ...
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema atawatuma kwa siri watu aliowaita ‘mashushu’ kuwachunguza wakuu wa shule za sekondari na walimu wakuu wa msingi, ambao wataukanyaga mwongozo wa ...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kupatikana kwa Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas,maarufu kama Boiboi Mkali mkazi wa Mbezi Beach African, Dar es Salaam, aliyedaiwa kupotea mapema Januari 3, ...
Angalau viwanja tisa vya ndege katikati na magharibi mwa Urusi vilisimamisha shughuli zake kwa muda, huku mashambulizi hayo yakisababisha shule za kusini magharibi mwa mkoa wa Saratov kufungwa.
“Vilevile kwa matakwa ya CAF vimejengwa viwanja vya mazoezi vya Gymkhana, Law School na Meja Jenerali Isamuhyo ambavyo vitatumika kwenye mashindano ya CHAN. “Maandalizi haya ya miundombinu hii ya ...
Hata hivyo taasisi hiyo inaonyesha kuwa "mafanikio makubwa yamepatikana katika nchi za Kenya, Tanzania na Uganda kwa ujenzi na uboreshaji wa viwanja vya michezo, viwanja vya mazoezi, hoteli ...
Kwa miaka mingi tumeshuhudia uwekezaji ambao JKT inafanya kwa wanamichezo binafsi, wa kitimu na pia wa ujenzi wa miundombinu ya michezo kama viwanja na kambi za wanamichezo. Jambo la kufurahisha ni ...
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew amesema maeneo yaliyokuwa na changamoto ya huduma ya majisafi ya Kinyerezi, Ukonga, Kitunda, Kibamba na Mwanagati jijini Dar es Salaam ...
DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema serikali inapaswa kuweka nguvu zaidi kwenye suala la ajira kwa vijana, ili kuimarisha huduma za elimu, afya, kilimo na maeneo mengine yenye uhitaji.
DAR ES SALAAM; YANGA imeitangazia vita Al Hilal ya Sudan kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja Cheikha Ouldi Boidiya, Nouakchott, Mauritania. Ushindi kwenye mchezo huo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果