WANASEMA jaMBO likimalizika, basi hufuata au lilelile huendelea na hivyo kuwafanya watu kuendelea kulifuatilia au kuanza upya kufuatilia linalojitokeza.
Khan amekabiliwa na mashtaka kama vile kuvuja siri za serikali na kuuza zawadi za serikali- yote akikanusha akidai analengwa na mahasimu wake wa kisiasa. Kesi hiyo mpya imetajwa na mamlaka za ...
Kuzorota kwa hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, kumesababisha zaidi ya watu 230,000 kupoteza makazi yao tangu mwanzo wa mwaka huu, limesema leo Shirika la Umoja wa ...
Mkataba wa Kimataifa wa Kidijitali na Azimio la Vizazi Vijavyo, liliyopitishwa Septemba 2024. Kwake, makubaliano haya yaliweka misingi ya mfumo mpya wa kimataifa uliokubaliwa na hali halisi ya ...
KOCHA mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud amekiri kibarua alichonacho baada ya kukabidhiwa ... Singida Black Stars inashika nafasi ya nne kwa pointi 33 nyuma Simba (40), Yanga (39), na Azam (36) ...
Katika salamu zao za mwaka mpya, viongozi karibu wote wa ukanda wa Afrika Mashariki, wametoa wito wa umoja na amani, huku kwa mataifa yenye utovu wa usalama, viongozi wakiahidi kirejesha utulivu ...