JUKUMU mama la kwanza kwa mabeki, siku zote ni kuzuia mashambulizi kutoka timu pinzani, lakini kwa soka la kisasa, wanawajibika pia katika kufunga, hivyo kuna mabeki ambao wamejaaliwa vipaji au kuwa ...
Ili utusue inabidi mishipa kadhaa ya soni, aibu na hofu uitoe kichwa na moyoni. Uwe mwehu mwehu kidogo. Kuna wanamuziki wakali zaidi ya Mondi. Lakini anawazidi kwenye kujiongeza. Mondi anapita sehemu ...
WAKATI michezo miwili mikubwa zaidi duniani inapogongana; soka na mpira wa kikapu, kuna kuwa na mitindo ya kuvutia ya mavazi yakioneshwa, iwe nje ya uwanja au ndani. Nyota wa Manchester United, Marcus ...
Katika historia ya NBA ni wachezaji wachache wamefanya makubwa kama ilivyokuwa kwa Durant, James, na Curry wanaoendelea kukiwasha hadi sasa. Wakali hao waliyoyafanya yamejengwa kupitia mafanikio na ...
MANCHESTER, ENGLAND: MANCHESTER City imewaruhusu wanawake wa wachezaji kwenda kusherehekea na waume zao kwenye uwanja wa mazoezi wa timu hiyo wakati wa Krismasi ili kuwafanya wachezaji hao kuwa na ...
Dar es Salaam. Zimesalia siku nne kuumaliza mwaka 2024 huku kiwanda cha Bongo Fleva kikifanya makubwa. Hilo linathibitishwa na kazi za wasanii wenyewe zilizotamba ndani na nje ya nchi na kuifanya ...