Kumiliki 0.01 BTC kunakupa nafasi nzuri kuliko watu wengi kimataifa, ukizingatia umuhimu unaoongezeka wa Bitcoin na ugavi mdogo. Kuwekeza polepole ni mkakati mzuri wa kukusanya Bitcoin huku ukidumisha ...
Ltd., na Deck Equipment kutoka W-Rig Limited. Vitambaa hivi vitajengwa kwa miundo ya Robert Allan Limited, nyumba inayoongoza duniani kwa usanifu wa kuvuta bandari. Soma Pia: Mali ya ulinzi, uwanja wa ...
Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu tuliyopewa na huyu Masihi aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani ... Adam na Hawa. Kwa dini zote mbili kuu duniani, ...
Sudan Kusini inazidiwa uwezo kutokana na wimbi kubwa la wakimbizi wanaokimbia vita ... Sudan inakabiliwa na moja ya mzozo mbaya zaidi wa kibinadamu duniani uliochochewa na vita kati ya wanajeshi ...
Kuanzia sasa, Moscow inaonekana kuanza zoezi la uhamishaji kamili zana zake zote kutoka ... katika zoezi kubwa la urushaji makombora katika Mediterania ya Mashariki, meli kubwa ya Gorshkov ...
Wahamiaji wa kimataifa wameendelea kuongezeka na kuwa na majukumu muhimu kwenye soko la ajira duniani kwani wamechangia asilimia 4.7 ya nguvu kazi yote ... Kiwango hicho ni ongezeko kwa zaidi ya ...
Mwaka 2024 ukielekea ukingoni, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Uganda limetoa rai kwa jumuiya ya kimataifa kutolisahau taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo ni maskani ...
Watetezi hao wa Ligi Kuu Bara na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, inaelezwa imetia mkono kwenye dili la beki mmoja matata wa Msimbazi, kwa kuongeza dau kubwa zaidi ...
KONGAMANO la Akili Mnemba linalotarajiwa kufanyika mapema mwaka 2025 litashirikisha mataifa mbalimbali duniani ... kubwa kwa wananchi wa Rwanda na Afrika Mashariki kwa ujumla, Tunaipongeza Rwanda kwa ...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeendelea kupokea meli kubwa za mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam ikitokea China yenye uwezo wa kusafirisha zaidi ya kontena 4,000. Akizungumza na ...
WHO ni shirika makhsusi la Umoja wa Mataifa linalohusika na afya ya umma wa kimataifa. Lilianzishwa Aprili 7, 1948 na lina makao yake makuu mjini geneva, Uswisi.