Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Januari 2022 katika eneo la Katumba katika kitongoji cha Dalinyi katika Manispaa ya Sumbawanga ambapo Philipo aliwachinja Judith Rupia aliyekuwa mjamzito na wanawe ...
Katika makala haya, tutazungumza na watu muhimu kama vile mgonjwa wa UKIMWI, daktari, na mkunga anayeelimisha kuhusu jinsi ya kuzuia watoto kuambukizwa virusi vya UKIMWI wakati wanapozaliwa.
Mwanamke mmoja anadaiwa kujipasua tumbo kwa kitu chenye ncha kali na kumtoa mtoto, wilayani Nkasi mkoani Rukwa Kusini Magharibi mwa Tanzania. Tukio hilo limevuta hisia za wengi na wengine wakiwa ...