KIKOSI cha Yanga kina washambuliaji ambao ni tishio kwa mabeki wa timu pinzani, lakini mashabiki wa klabu hiyo wamekuwa ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema wamekwenda jijini Dodoma kwa lengo moja tu, kuwapa zawadi ya sikukuu ya Krismasi wananchi na mashabiki wa timu hiyo kwa ushindi leo dhidi ya Dodoma Jiji FC.
Dar es Salaam. Mashabiki wa Yanga wameanza kuchekelea wakisahau siku ngumu walizopitia kabla na baada ya kuondoka kwa kocha ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema watafanya kila njia kuhakikisha wanapata ushindi wa ugenini leo dhidi ya TP Mazembe ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kuwa na matumaini ya kuingia ...
uongozi wa Yanga kumtambulisha beki huyo wa kulia anayemudu pia kucheza kushoto na eneo la winga zote ambaye fasta aliibukia mazoezini smbamba na wachezaji wa kikosi cha sasa cha Kocha Sead Ramovic.
Nairobi, Kenya – Kocha wa timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Kenya, Harambee Stars, Engin Firat amekatiza kandarasi yake, siku nne tu baada ya kuchaguliwa kwa rais mpya wa Shirikisho la Soka la ...
Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema makosa mawili ya wazi waliyoyafanya dhidi ya MC Alger, ndiyo yaliyowagharimu zaidi na kusababisha kupoteza mchezo, juzi. Yanga ikiwa Algeria ...
Hiyo imetokana na hadi sasa mabao mengi ya timu hiyo yanafungwa na viungo washambuliaji huku mastraika waliopo wanaonekana hawana msaada Kocha wa timu ya Yanga SC, Miguel Gamondi, amesemaanahitaji ...
Yanga itashuka uwanjani Pele mjini Kigali, Jumamosi saa 10 jioni kuumana na timu hiyo katika mechi ya mkondo wa kwanza wa michuano hiyo. Kikosi cha wachezaji 26 wa timu ya Yanga, kimeondoka nchini ...
Maelezo ya picha, Kenya inamsaka mkufunzi mpya wa timu yake ya taifa baada ya kocha Paul Put kujiuzulu miezi mitatu baada ya kuzinduliwa. 20 Februari 2018 Kenya inamsaka mkufunzi mpya wa timu yake ...
Mazoezi ya klabu ya Yanga yamezidi kunoga baada ya wachezaji wake wa kimataifa kuwasili ili kujiunga na timu kujiandaa na michuano ya kitaifa na kimataifa. Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema sasa ...