Wanajeshi na polisi wanashika doria katika barabara za mji mkuu wa Msumbiji, Maputo, huku wafuasi wa upinzani wakipinga matokeo yenye utata ya uchaguzi wa mwezi uliopita . Polisi walirusha mabomu ...
Maandamano yamezuka nchini Israel baada ya Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo Yoav Gallant. Netanyahu amesema "mgogoro wa uaminifu" kati ya viongozi hao ...