WANAFUNZI wa kidato cha nne wameanza mitihani ya taifa kukamilisha safari ya kuhitimu daraja hilo la taaluma. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk. Said Mohamed wakati ...
na Mike Waltz ambaye Trump amemchagua kama mshauri wake wa masuala ya usalama wa taifa. Trump amekuwa akidai kuwa uhalifu na dawa za kulevya vinapelekwa nchini Marekani kupitia Mexico na Canada.
Tanzania ilichagua zaidi ya viongozi 80,000 wa serikali za mitaa, ambao wana mamlaka makubwa katika taifa hilo. Uchaguzi huo ni mtahani mkubwa kwa vyama na taasisi za kidemokrasia nchini humo ...
Uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika Jumatano hii, Novemba 27 kote nchini Tanzania. Kwa jumla, zaidi ya vijiji na vitongoji 75,000 vitachagua wawakilishi wao wa mitaa kwa kipindi cha miaka mitano.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, anashauri katika ripoti zake za 2020/21 na 2021/22, "…serikali ichukue hatua stahiki kunusuru mfumo wa ikolojia wa Hifadhi ya ...
uliiweka Tanzania pazuri kabla ya Guinea kupata ushindi nyumbani mbele ya vinara wa kundi H, DR Congo iliyotaka tiketi mapema kabla ya mechi hizo za juzi usiku. Ushindi wa bao 1-0 wa Guinea dhidi ya ...
Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani Jake Sullivan juzi Jumapili alisema utawala wa Rais Joe Biden utaamua wiki hii kuhusu ni aina gani ya hatua zilizopigwa na Israel.