BAADA ya Yanga kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kila mmoja anasema lake. Kila mmoja anatoa maoni yake ambayo yeye anadhani yamesababisha kushindwa kuingia hatua ya robo fainali, huku mashabiki ...
DAR ES SALAAM; YANGA leo watakuwa wanaikaribisha Fountain Gate FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa KMC, Mwenge Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wanakuwa na ari ya kuendeleza ...
Pia, Simba na Yanga na timu nyingine zilikuwa zinautumia uwanja huo kwa mechi za nyumbani za kitaifa na kimataifa. Histori iliwekwa mwaka 1993 wakati uwanja huo ulipochezewa mchezo wa marudiano wa ...