SIMBA na Yanga zote za jijini, Dar es Salaam zimekutana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana alfajiri, kila mmoja akiwa anaelekea katika majukumu ya mechi ya mashindano ya ...
WAKATI inatarajia kuwakaribisha Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, benchi la ufundi la Yanga limesema wana michezo 15 ya ...
Kwa mujibu wa Taarifa hiyo ya TFF, winga huyo na beki wa kulia, Israel Mwenda wanatarajiwa kuanza kuitumikia Yanga rasmi katika mechi ya kiporo cha michuano ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa Janauri ...
Ndio, licha ya Simba kuongoza msimamo wa ligi hiyo kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya Yanga, vigogo hao wamegawa idadi ya mechi walizoshinda nyumbani na ugenini, wakiizidi Azam FC iliyopo nafasi ya ...
Hakuna namna nyingine ambayo mashabiki wa Yanga na Simba wanachotaka kusikia leo Jumapili zaidi ya timu hizo kushinda ugenini. Unaweza kusema leo ni siku ya hukumu, sio kwa timu hizo tu za Tanzanuia ...
Mbio za ubingwa Ukiangalia msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Simba ndio vinara wakiwa na pointi 40, wakifuatiwa na Yanga (39), kisha Azam (36) na Singida Black Stars (33). Hizo ni nne bora ambapo ...