Open links in new tab
  1. Historia ya Zanzibar - Wikipedia, kamusi elezo huru

    • Mabaki ya vifaa vya mawe inaonyesha kwamba kwa kiasi cha miaka 20,000 kumekuwepo makazi ya binadamu katika visiwa vya Zanzibar. Visiwa hivyo ni sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria ya ulimwengu wakati Waajemi wafanyabiashara walivigundua na kuvifanya ndiyo makao makuu kwa safari kati ya Mashariki ya Kati, India na Afrika. Katika karn… See more

    Mapitio

    Historia ya Zanzibar inahusu historia ya eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. See more

    Chini ya Waarabu

    Waarabu kutoka Oman walichukua utawala Zanzibar katika karne ya 17 na Zanzibar ilikuwa makao makuu ya utawala wa Waomani.
    Miaka 1820-1870 Zanzibar ilifaidi matunda mazuri ya k… See more

    Kuenea kwa ukoloni

    Mwaka 1886 mkataba kati ya Uingereza na Ujerumani ulibana eneo la sultani barani katika kanda yenye upana wa maili kumi tu kati ya Rasi Delgado na Mogadishu. Bargash na mfuasi wake Khalifa bin Said waliamua kuuza mae… See more

    Baada ya uhuru na mapinduzi

    Tarehe 10 Desemba 1963 Waingereza waliipa uhuru Zanzibar chini ya jumuiya ya madola.
    Uhuru wa usultani ukadumu muda mdogo tu.
    Tarehe … See more