Harmonize - Never Give Up (Official Music Video) Sms SKIZA 8546308 to 811
4:26
Harmonize - Never Give Up (Official Music Video) Sms SKIZA 8546308 to 811
#HARMONIZE #NEVERGIVEUP #KONDEGANG Never Give Up is a true life story of Harmonize. The song outlines all the struggles,challenges ad hustles from where he grew up to what he is now...! Let it inspire everyone NEVER GIVE UP God has plans for you..! The video was shot and directed by Director Kenny from Zoom Production covering areas in Mtwara ...
YouTubeHarmonize已浏览 1900.4万 次2019年5月23日
歌词
Oooh nooh
Lord have mercy
Yeh yeh eeeeh
KONDE BOY
Let me tell you my story
Nimezaliwa Mtwara Tanzania
Huko kijijini chitoholi
Hapa mujini nimezamia
Ndoto zilikuwa kucheza boli
Mara ghafla kwa mziki zikahamia
My dady I'm sorry
Swala tano hukupenda uliposikia
Kama utani sinikaanza kuimba
Mungu si Athumani nikakutana na simba
Akanipiga kampani japo kuna walionipinga
Kwamba sina kipaji
Fitina za ndani ndani
Mara Harmo anavimba
Atapendwa na nani
Mmakonde wa Tandahimba
Nikajipa imani ipo siku nitashinda
Mana mola ndo mpaji
Eeeeeh
Now I make my paper (My paper)
And I bless my family
Pole walionicheka (nicheka)
Enzi navaaga kandambili
Soooo
Never, never, never
Never, never, never (give up)
Never, never, never
Usikate tamaa maana mungu ankuona
Never, never, never
Never, never, never (give up)
Never, never, never
Usikate tamaa angaika kila kona
I remember, mama told me my boy
Binadamu hawana wema
Watakuchekeaga usoni
Ukiwapa kisogo wanakusema
Usihifadhi chuki moyoni
Yalipe mabaya kwa mema
Jifanye Hukumbuki huyaoni
Ndo maandiko yanavyosema
Nilimtanguliza Mungu kwa swala
Mara ghafla akaja mzungu Sarah aah
Thank you my baby
You love me, you support me, I love you too
Shout out to my nigga Jose wa mipango
Jabulant chopa I got love for you
Mnyama mkali buda na mchachambo
Mwambie tunapita so mikono juu
Najua maisha safari mi bado cjafikaga
Long way to go
Ila naiona afadhali kulala uhakika
Na kula sio kama before
Debe kwa azizi ally
Mbagala, Tandika
Kimara na Kariakoo
Geto na kibatari
Kiangazi, masikaaa
Jua, mvua vyote vyakooo
Now I make my paper (my paper)
And I bless my family
Pole walionicheka (nicheka)
Enzi navaaga kandambili
Sooo
Never, never, never
Never, never, never (give up)
Never, never, never
Usikate tamaa angaika kila kona
反馈