Mmh mmhmm eeh ee
From January to December
Nimejua aliyenilinda
Ni Wewe
Tangu mawio machweo
Aliyenipa huu mwangaza
Ni Wewe
Nyakati za Huzuni, Furaha, Zote
Unanipa amani
Milimani, Mabondeni, Kote
Unakuwa nami
Nchi ya ahadi (Aah aah aaa)
Ni nzuri imejawa na asali (iyee iyee)
Mwisho wa njia (Aaah)
Ni mzuri kuliko mwanzoni
Wakunifikisha pale Ni Wewe eeh
Ni Wewe BWANA Ooh Ni Wewe
Ni Wewe BWANA Ni Wewe
Ni Wewe BWANA Ooh Ni Wewe
Ni Wewe BWANA Ni Wewe
Ujazae podo langu mishale vitani
Ni Wewe BWANA
Ufutae uso wangu aibu na fedhea
Ni Wewe BWANA
Hayupo mwingine
Wakunifuta machozi yangu
Ila Ni Wewe
Ninapokosa ujasiri
Na nguvu zijaponiishia
Msaada wangu Ni Wewe
Nchi ya ahadi ni nzuri imejawa na asali
Iyee iyee iyee iyee
Na mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wakunifikisha Ni Wewe BWANA
Ni Wewe BWANA Ooh Ni Wewe
Ni Wewe BWANA Ni Wewe
Ni Wewe BWANA Ooh Ni Wewe
Ni Wewe BWANA Ni Wewe